TANROADS yatangaza tender ujenzi wa daraja jipya la Wami

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
Naam kama mada inavyosema.
TANROADS wametangaza tender za ujenzi wa daraja jipya la Wami (120 m X 3) plus approach roads (75m).
Mwenye ujuzi kuhusu designs za daraja hilo jipya atuwekee humu. Is it a cable-stayed bridge? Box bridge?
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
 

Attachments

  • tanroads.pdf
    290 KB · Views: 133
Wafanye Kweli na siyo kuishia kusema tu bila kuwa Na utekelezaji! Wananchi tunasubiri Kwa hamu kubwa huo ujenzi wa Hilo daraja jipya
 
serikali imesikia kilio cha daraja la wami kuleta maafa ambayo iliwahi kuwasilishwa hapa JF
 
Walitangaza pia tender uwanja Wa ndege wa kimataifa bagamoyo awamu ya 4.Kwa sasa no ndoto
 
Tanroad hawana pesa, hilo daraja halipo kwenye budget ya 2017-2018

Sasa mkuu watakua na bajeti hata tender haijawasilishwa?? Nadhani hii itakua katika bajeti ya mwakani au kama mzee akiamua kutoa kutoka kwenye muhimili wenye mizizi mirefu zaidi.

Tutoe hongera. Hatua nzuri kwakua pale wami ilikua changamoto kwakweli
 
Sasa mkuu watakua na bajeti hata tender haijawasilishwa?? Nadhani hii itakua katika bajeti ya mwakani au kama mzee akiamua kutoa kutoka kwenye muhimili wenye mizizi mirefu zaidi.

Tutoe hongera. Hatua nzuri kwakua pale wami ilikua changamoto kwakweli
mkuu, tanroad wanatangaza tuu tender lakini hawana pesa kabisa. mwulize waziri wa ujenzi, mwaka Jana walitangaza tenda ya ujenzi wa barabara ya kimara-kibaha -chalinze, waziri katika bajeti ya 2017/2018 amesema imeshindikana kuanza ujenzi kwa sababu hakuna hata mfadhili aliye jitokeza hivyo barabara itasubiri baada ya miaka 4 au 5.
 
Tenda ni kawaida kutangazwa hata kama hamna bahati kwani malipo huwa kazi ikiisha hii sio mara ya kwanza tuwe makini kwenye kuchangia hoja humu. Serikali haijawahi kulala na Hizi ni practical za Siasa.
 
Back
Top Bottom