TANROADS wafilisika rasmi!

Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!

gonga like
 
Lazima utakuwa ni mkandarasi tu wewe, unatafuta mahali pa kuongelea kwa kuogopa kuonana na client wako ili asikunyime kazi nyingine. Kamuone tu akwambie lini atakulipa sio utusumbue, halafu unataka tena sisi ndio tukupe more updates?

sasa kama wakandarasi hawajalipwa muda Wa mwaka sasa ni kufanikiwa huko? hela za road fund ambazo ndo hutumika kulipa wakandatasi sasa ndo zinaendesha nchi,kwa kuwa nchi haina pesa
 
BAK .... Maelezo yako ni ya msingi sana. Lakini je umejibu hoja iliyoulizwa/ kutajwa... Tanroads kufilisika????????

 
hii ni kweli kwani wakandarasi wa kichina waliambiwa wapeleke taarifa zao za madeni kwa serekali ya tz kwenye ubalozi wao, mwezi wa kumi mwaka jana na serekali ya china baada ya kupitia taarifa wakaamua kuwalipa wakandarasi wao kupitia serekalini kwa kigezo cha mkopo wa masharti nafuu! Walitoa bilioni 300! Hiki kiasi ni kidogo na hakikutosheleza! Sasa kwa taarifa za karibuni nasikia ubalozi huo huo umeitisha tena utaratibu huo? Sasa ndio tuseme wachina wanataka kutununua burebure?
 

Na wakandarasi wa kitanzania wataitwa na nani katika mpango kama huo wa wachina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…