Ingelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi ya tan roads haina uwezo tena wa kujiendesha,na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki,madaraja hayapitiki mengine yamekatika,kwa ujumla ni shida kubwa sana!
Serikali ya china imeingilia kati baada ya serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi Wa kichina,imebidi china iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi,
mwenye updates zaidi atujuze plzz

mi naishia kusoma kwenye comment yako umemaliza kila kituIngelikuwa tunajaza fomu za kujiunga jf ingesaidia sana japo wengine wangelisema ni ubaguzi. IQ test ili wale wenye below 10 wasijiunge. Sasawewe umetuletea mada tena ukisema wamefilisika rasmi, alafu unaishia kusema eti mwenye data atujuze!
80% ya wakandarasi wamevacate site mikoa yote kwa ajili ya malipo
Wakuu kwa taarifa rasmi ni kuwa hii taasisi yaTANROADS haina uwezo tena wa kujiendesha, na wakandarasi sasa wameingia mitini barabara hazipitiki, madaraja hayapitiki mengine yamekatika, kwa ujumla ni shida kubwa sana!
Serikali ya China imeingilia kati baada ya Serikali ya Tanzania kushindwa kuwalipa wakandarasi wa kichina, imebidi China iwalipe angalau fedha kiduchu ili kuokoa jahazi.
Mwenye updates zaidi atujuze plzz!

kufilisika so lazima ufanye biashara hata ikishindwa kujiendesha yenyewe ninkufilisika huko