Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,572
- 4,825
Wananchi tunahitaji barabara mbadala zitengenezwe vizuri ili foleni.zipungue tutafukuzwa kazi kwa uchelewaji
Magari yetu yanaharibika sana hamtengenezi njia za kukatisha barabara kwa usahihi.
Nendeni migodini kaombeni.ushauri wa kutengeneza barabara kwa changarawe na udongo. Inaonekana hakuna anayemkagua mkandarasi kama katengeneza alternative roads properly. Mifereji ya maji haina.dalili ya.kutengenezwa kwenye.hii BRT.hasa ya mwenge tegeta