Wewe umejuaje mkuu ??Bado wanafanya sorting
Mie niliomba zote ila still sijatafutwa.Wakuu naomba kujua kama kuna aliepigiwa simu kwa ajili ya interview.
Kuna uwezekano wameshaita wale majamaa sio kwa ukimya huo ila sina uhakikavip mkuu bado sorting inaendelea?
Mie mwenyewe nasikilizia hapo japo nipo sehem najishikiza mkuu.sure wamekula buyuuu sana hawa jamaaaa!!!!
but ukipata any other information tujuzane kaka maana bado wengine tunaskilizia.