ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,602
Nilijua una akili kumbe umejaa mavi kichwani.Nilijua unaakili nowdays kumbe bado zezeta!!! Kwa hiyo wajenge flyover ya mabillion ya fedha kupendezesha mji???
Unaijua Dola Bilioni kwanza? Pili ukiacha kwamba traffic inakuwa na kuongezeka ni wajibu wao ndio kupendezesha Miji.
Barabara ni pambo la Miji na ndio maana unaona hata majengo pamoja na ku serve purpose kuu yanajengwa Ili yapendezeshe.
Punguza kuwa mpumbavu basi.