Tanroad morogoro

Tanroad morogoro

Kwani vipi mkuu?hata mimi nilifanya usaili dec ila matokeo bado.umeshapata habari yoyote?
 
Tusubiri tuone yatakayotokea mkuu kwani ajira za bongo hazieleweki.
 
jamaa angu kapigiwa simu leo....na amepta kazi bila kujuana na m tu yoyote tena jamaa ni mwalimu
 
mbona pale hapakuwa na nafasi ya mwl hata equevalent yake? chai hiyo labda iwe kamlete
 
Back
Top Bottom