Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
saws mtaalamuNgoja waje tuone!
saws mtaalamuNgoja waje tuone!
Hiyo ni 5- 1 sio bila weka hesabu vizuriKama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa ananifatilia Ila sijampa jibu wala kumtokea anayo number yangu ananisumbua wasapp tulijuana kupitia jamaa flani kibiashara, wapili tulisoma nae nimempita umri yuko mkoa mwingine anazo hela kunipita anatumia jamaa tuliosoma nao kunifikishia ujumbe halafu ananipenda tokea Chuo tatizo ni kama nikiwa nae naonekana maskini kwa level yake nilishindwa tokea Chuo kuhusiana nae, watatu na NNE wapo kitaa wananitega na kunishobokea sana nafupisha shobo, watatu ni mdogo wa jamaa yangu nikauzu balaa kama wazazi wake mtoto analetashobo kwao life zuri mi kapuku tu naonekana zoba, wanne ni mgeni mtaani ndio ameanza kazi mwezi 11 mwaka huu. Mwanamme kutokua na hela unakua zoba, domo limekua jiwe zito. Naona noma sana bahati zote zinapita Niko kwenye majanga.
Shikamoo Pesa, Aisee magufuri 2020 nakuchinja umeharibu mkondo wa Pesa kisa demus
Naazima sun- gogles zako nisomee!Kama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa ananifatilia Ila sijampa jibu wala kumtokea anayo number yangu ananisumbua wasapp tulijuana kupitia jamaa flani kibiashara, wapili tulisoma nae nimempita umri yuko mkoa mwingine anazo hela kunipita anatumia jamaa tuliosoma nao kunifikishia ujumbe halafu ananipenda tokea Chuo tatizo ni kama nikiwa nae naonekana maskini kwa level yake nilishindwa tokea Chuo kuhusiana nae, watatu na NNE wapo kitaa wananitega na kunishobokea sana nafupisha shobo, watatu ni mdogo wa jamaa yangu nikauzu balaa kama wazazi wake mtoto analetashobo kwao life zuri mi kapuku tu naonekana zoba, wanne ni mgeni mtaani ndio ameanza kazi mwezi 11 mwaka huu. Mwanamme kutokua na hela unakua zoba, domo limekua jiwe zito. Naona noma sana bahati zote zinapita Niko kwenye majanga.
Shikamoo Pesa, Aisee magufuri 2020 nakuchinja umeharibu mkondo wa Pesa kisa demus
dakika yoyote naweza kufungwa hata hiyo mechi nilioshika mkononi, bado ni 5 bila dalili zinaonesha, mikeka ishachanika Lisa bichwa
majanga mpaka nishakua ganja
ni form one tumefunga badoShule zifunguliwe sasa.maana humu ndani imekuwa kama ni bweni la form two.
ni form one tumefunga bado
Tafuta pesa utaishia kuwaita shemejiKama heading inavosema wakuu kuna wadada watano wanataka niwenao kimapenzi. Kuna mmoja Niko nae Ila sielewi kabisa kinachoendelea. Sasa wapo hawa wanne, wa kwanza kanizidi umri na kipesa ananifatilia Ila sijampa jibu wala kumtokea anayo number yangu ananisumbua wasapp tulijuana kupitia jamaa flani kibiashara, wapili tulisoma nae nimempita umri yuko mkoa mwingine anazo hela kunipita anatumia jamaa tuliosoma nao kunifikishia ujumbe halafu ananipenda tokea Chuo tatizo ni kama nikiwa nae naonekana maskini kwa level yake nilishindwa tokea Chuo kuhusiana nae, watatu na NNE wapo kitaa wananitega na kunishobokea sana nafupisha shobo, watatu ni mdogo wa jamaa yangu nikauzu balaa kama wazazi wake mtoto analetashobo kwao life zuri mi kapuku tu naonekana zoba, wanne ni mgeni mtaani ndio ameanza kazi mwezi 11 mwaka huu. Mwanamme kutokua na hela unakua zoba, domo limekua jiwe zito. Naona noma sana bahati zote zinapita Niko kwenye majanga.
Shikamoo Pesa, Aisee magufuri 2020 nakuchinja umeharibu mkondo wa Pesa kisa demus
januaryMnafungua lini son? Kipindi hiki ungesoma hata english course. Be a good boy please.sawa? Haya mambo waachie wajomba zako,baba na kaka zako. Wewe kwa sasa jikite kwenye masomo.sawa mtoto mzuri? Good. Now go to sleep.