babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Ananunua Tani 20 = Tshs 16mHii pamba inaonekana ilinunuliwa ki machinga kipindi mabank hayajaamuliwa kutoa pesa kwa wanunua pamba,
unakuta mkulima anashida mfano ana mgonjwa inabidi auze pamba kwa chinga ili apate pesa ya kutatua shida zake,
ila chinga nao wana roho ngumu sana maana mzigo kama huo kukamatwa ni hasara sana na kama mtu amekopa bank ndo mwanzo wa kushindwa kulipa deni,
hawa chinga ni wale wenye mitaji midogo mfano milioni 100,kwahiyo wao wananunua kwa mkulima mfano Tsh 800 na kwenda kuuza kwa mfanyabiashara mkubwa,wale wenye Ginnery kwa Tsh 1000,
anakula 200 kila kilo,
kiufupi hawa pia ni kagomba (walanguzi)
Anauza kwenye ginnery 20m
Faida ni 4m hii ni 25% ya capital
Is very good return!!