Tani 20 za Pamba zataifishwa Bariadi

Tani 20 za Pamba zataifishwa Bariadi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,609
cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c

Gari aina ya scania iliyokamatwa na pamba hiyo
Derick Milton, Simiyu

Zikiwa zimepita siku kumi tangu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga, ataifishe tani 26 za pamba iliyodaiwa kununuliwa kwa njia ya machinga, leo Jumamosi Agosti 24, Mkuu huyo wa Wilaya ametaifisha pamba nyingine tani 20.

Akiongea na waandishi wa habari Kiswaga amesema kuwa pamba hiyo imekamatwa katika kijiji cha Igegu kata ya Sapiwi majira ya saa 5 asubuhi ikiwa imepakiwa kwenye gari aina ya scania yenye namba za usajili T 729 ARN.

Amesema kuwa kupitia kikosi kazi ambacho alikiunda cha kupambana na watu wanaonunua pamba kwa njia ya machinga, gari hilo baada ya kukamatwa dereva aliweza kukimbia kusikojulikana.

“Kikosi kazi hiki baada ya kukamata, kilikuta pamba haina kibali chochote na haikujulikani wapi inaenda, nani mmliki wake, na hata gari halijajulikana ni mali ya nani,” amesema Kiswaga.

cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c-1

Amesema kuwa ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800 kutoka katika kijiji hicho.

“Baada ya kubaini hivyo nimeamua kuitaifisha pamba hii na tutaenda kuiuza leo kwenye kiwanda cha kuchambua pamba chochote na pesa yote ambayo itapatika tutaipeleka katika kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Igegu,” amesema Kiswaga.

Aidha amewaonya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (Amcos) ambao wamekuwa wakishirikiana na makampuni kununua pamba kwa njia ya umachinga kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
 
duh..baada ya makaburu kuzuia ndege yetu, nao wameamua kumkomoa mkulima na mfanya biashara....fikiria benk zetu zilizotoa pesa kwa ajili ya kuwakopesha wafanya biasha ili wanunue pamba zitanufaika vipi na mchezo huu.
 
NCHI INAENDESHWA KIP.UMBAVU SANA HII, KWANINI WASIACHE DEMAND&SUPPLY KU-DETERMINE PRICE?
HUKO SHULE WALISOMEA UJINGA, MKULIMA AWE NA HAKI KUUZA KWA BEI YOYOTE ILE NA KWA MTU YOYOTE YULE! HIVYO VYAMA VYA USHIRIKA VIKICHUKA PAMBA LEO MALIPO NI 2020 TENA KWA USUMBUFU WA KUTOSHA.
 
cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c

Gari aina ya scania iliyokamatwa na pamba hiyo
Derick Milton, Simiyu

Zikiwa zimepita siku kumi tangu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga, ataifishe tani 26 za pamba iliyodaiwa kununuliwa kwa njia ya machinga, leo Jumamosi Agosti 24, Mkuu huyo wa Wilaya ametaifisha pamba nyingine tani 20.

Akiongea na waandishi wa habari Kiswaga amesema kuwa pamba hiyo imekamatwa katika kijiji cha Igegu kata ya Sapiwi majira ya saa 5 asubuhi ikiwa imepakiwa kwenye gari aina ya scania yenye namba za usajili T 729 ARN.

Amesema kuwa kupitia kikosi kazi ambacho alikiunda cha kupambana na watu wanaonunua pamba kwa njia ya machinga, gari hilo baada ya kukamatwa dereva aliweza kukimbia kusikojulikana.

“Kikosi kazi hiki baada ya kukamata, kilikuta pamba haina kibali chochote na haikujulikani wapi inaenda, nani mmliki wake, na hata gari halijajulikana ni mali ya nani,” amesema Kiswaga.

cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c-1

Amesema kuwa ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800 kutoka katika kijiji hicho.

“Baada ya kubaini hivyo nimeamua kuitaifisha pamba hii na tutaenda kuiuza leo kwenye kiwanda cha kuchambua pamba chochote na pesa yote ambayo itapatika tutaipeleka katika kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Igegu,” amesema Kiswaga.

Aidha amewaonya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (Amcos) ambao wamekuwa wakishirikiana na makampuni kununua pamba kwa njia ya umachinga kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
 
Benki zimeshatoa kiasi gani hadi sasa?
 
Afandeeeee fatilia ujue Nani mmiriki wa mzigo huo behind the scenes,ndio utajua bado tunaendelea kunyooshana mpaka 2020
 
Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
Bora hiyo 800 ya papo kwa papo kuliko hiyo 1200!!ya baada ya miezi nane!! Toka mwezi wa tano wakulima walivuna pamba wakakataa kulipwa hiyo 1000,wakitaka walipwe 1200!!wakaiweka ndani wakati huo gunia la mahindi (katavi) lilikuwa likiuzwa elfu 25! Leo wanakopwa kwa 1200,gunia la mahindi ni elfu 55!!hapo nani bwege? Nfra wananunua mahindi kwa kilo shilingi500!! Nani akakopwe bora mtu auze kilo kwa shilingi 400!!ya hapo hapo.
 
Hili jambo hlifurahiwi na wananchi! Jiwe pekee ndio anakenua meno.

Dreamliner787 inawaumiza vichwa.
 
Now we have Kangaroo Court
cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c

Gari aina ya scania iliyokamatwa na pamba hiyo
Derick Milton, Simiyu

Zikiwa zimepita siku kumi tangu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga, ataifishe tani 26 za pamba iliyodaiwa kununuliwa kwa njia ya machinga, leo Jumamosi Agosti 24, Mkuu huyo wa Wilaya ametaifisha pamba nyingine tani 20.

Akiongea na waandishi wa habari Kiswaga amesema kuwa pamba hiyo imekamatwa katika kijiji cha Igegu kata ya Sapiwi majira ya saa 5 asubuhi ikiwa imepakiwa kwenye gari aina ya scania yenye namba za usajili T 729 ARN.

Amesema kuwa kupitia kikosi kazi ambacho alikiunda cha kupambana na watu wanaonunua pamba kwa njia ya machinga, gari hilo baada ya kukamatwa dereva aliweza kukimbia kusikojulikana.

“Kikosi kazi hiki baada ya kukamata, kilikuta pamba haina kibali chochote na haikujulikani wapi inaenda, nani mmliki wake, na hata gari halijajulikana ni mali ya nani,” amesema Kiswaga.

cd0d582c66482e5b0d2486177a9e816c-1

Amesema kuwa ilibainika kuwa pamba hiyo ilikuwa inanunuliwa kwa njia za machinga, ambapo wakulima walikuwa wakinunuliwa kwa sh.600 hadi 800 kutoka katika kijiji hicho.

“Baada ya kubaini hivyo nimeamua kuitaifisha pamba hii na tutaenda kuiuza leo kwenye kiwanda cha kuchambua pamba chochote na pesa yote ambayo itapatika tutaipeleka katika kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Igegu,” amesema Kiswaga.

Aidha amewaonya viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (Amcos) ambao wamekuwa wakishirikiana na makampuni kununua pamba kwa njia ya umachinga kuwa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
 
Nchi hii tuna wafanyabiashara wa hovyo. Shule ndogo ni tatizo. Serikali imewaagiza wanunue kwa 1200 ikatoa ahadi ya fidia kama watapata hasara, imewadhamini kupata mikopo benki, bado wanafanya ujinga wa aina hii. Magufuli uko sahihi. Punguza majadiliano na wapuuzi kama hawa.
Hujui unachokitetea manyo'anokho ebhe!!
 
NCHI INAENDESHWA KIP.UMBAVU SANA HII, KWANINI WASIACHE DEMAND&SUPPLY KU-DETERMINE PRICE?
HUKO SHULE WALISOMEA UJINGA, MKULIMA AWE NA HAKI KUUZA KWA BEI YOYOTE ILE NA KWA MTU YOYOTE YULE! HIVYO VYAMA VYA USHIRIKA VIKICHUKA PAMBA LEO MALIPO NI 2020 TENA KWA USUMBUFU WA KUTOSHA.
Wakija kuleta hizi akili mavi kwenye zao langu la mpunga, ntakuja nimfile mtu mchana kweupe! shida npate mm mkulima uuzaji wanipangie wao?
 
Hii pamba inaonekana ilinunuliwa ki machinga kipindi mabank hayajaamuliwa kutoa pesa kwa wanunua pamba,
unakuta mkulima anashida mfano ana mgonjwa inabidi auze pamba kwa chinga ili apate pesa ya kutatua shida zake,
ila chinga nao wana roho ngumu sana maana mzigo kama huo kukamatwa ni hasara sana na kama mtu amekopa bank ndo mwanzo wa kushindwa kulipa deni,
hawa chinga ni wale wenye mitaji midogo mfano milioni 100,kwahiyo wao wananunua kwa mkulima mfano Tsh 800 na kwenda kuuza kwa mfanyabiashara mkubwa,wale wenye Ginnery kwa Tsh 1000,
anakula 200 kila kilo,
kiufupi hawa pia ni kagomba (walanguzi)
 
Back
Top Bottom