Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Wewe ndio utupe bei ..tuna nataka bei ya mkulima siyo ya mtu wa kati.Unanunua kwa bei gani.
OK, wasubirini wakulima wawape bei zao.Wewe ndio utupe bei ..tuna nataka bei ya mkulima siyo ya mtu wa kati.
Sidhani ikiwa kuna mkulima ana ulezi kwa sasa.OK, wasubirini wakulima wawape bei zao.
darUko wap
Tatizo muuzaji anataka mm nimpe bei.. hivi mtu anayetaka kufanya biashara aliyo nayo anaweza pewa bei namnunuzi?? maana kama kweli mtu yupo serious anatakiwa aseme upo kiasi flan, eneo flan, bei flan,Sidhani ikiwa kuna mkulima ana ulezi kwa sasa.
Mshauri pia pale kwenye vigezo ahariri na kuongeza kigezo cha LAZIMA ULEZI UTOKE KWA MKULIMA. AU TUNANUNUA TOKA KWA WAKULIMA.
Hapana usishangae kama ni mgeni kwenye biashara ya mazao. Watu wengine wanaochukua mzigo mkubwa wa mazao kama huo huwa wanatangaza nanunua labda kwa kilo kiasi kadhaa, mtu akiona inafaa anakuchekiTatizo muuzaji anataka mm nimpe bei.. hivi mtu anayetaka kufanya biashara aliyo nayo anaweza pewa bei namnunuzi?? maana kama kweli mtu yupo serious anatakiwa aseme upo kiasi flan, eneo flan, bei flan,
Sasa unanitaka mm nikutajie je? haya nataka gunia kwa elfu 50 ! je ata niuzia kwa bei ntakayo taja??
Tatizo la Tazania yetu madalali wengi ndio wanaoharibu biashara. Utakuta anapambana ajue bei ya muuzaji na pia ya mnunuaji kisha ampandishe mnunuaji na amshushe muuzaji na mwisho wa siku yeye ndiye anafaidika zaidi. Hawataki kuridhika na pesa ya kuwakutanisha mnunuaji na muuzaji.Tatizo muuzaji anataka mm nimpe bei.. hivi mtu anayetaka kufanya biashara aliyo nayo anaweza pewa bei namnunuzi?? maana kama kweli mtu yupo serious anatakiwa aseme upo kiasi flan, eneo flan, bei flan,
Sasa unanitaka mm nikutajie je? haya nataka gunia kwa elfu 50 ! je ata niuzia kwa bei ntakayo taja??
Uko dar arafu unataka bei ya wakulima kweli ndugu.
Niambie Mbeya napata gunia moja kwa bei gani? ilituongee kila gunia nitakupa bei gai ya udalaliJamaa kama kweli unataka kufanya biashara ya mazao Kwa Tz hii ww mnunuzi ndo unatangaza ofa yako....ya kununua ...by the way saiz kupata Kwa mkulima ni ngumu ..kwasab sio msimu wa kuvuna ...ila Kwa wafanyabiashara utapata ... sometimes madalali hawaweki Cha juu ila tu tunakubaliana nikikutaftia hiyo Mali unayotaka Kwa tani au gunia moja utanilipaje...it's very simple like that ...nipo mbeya kama upo tayari njoo tufanye kazi chapchap