Tangu vita vya Ukraine na Urusi vianze sijawahi kuona vikiripotiwa ITV

Angalia TV Imaan
 
Sera ya ya ITV ni kwamba taarifa zake za habari za saa moja, saa mbili usiku na saa tano zinaonyesha ahabri za ndani na mataifa ya africa tu. habari za ulimwengu wanajiunga na CNN na aljazera na mashirika mengine. hiyo ni in house policy.
 
Kwani umelazimishwa kubaki ITV tu? Mbona stations za TV kibao?
 
Kupanga ni kuchagua
 
Japo ni nje ya mada, mimi wakishafika kwenye, “waliojibu swali letu la kipima joto” nabadilisha chaneli.
Huko mbona mbali Sana kiufupi ITV habar zao nzur Ni zile DK 10 za Kwanza tu baada YA hapo wanalipua tu hawako serious kabisa Na wao wenyewe wanajijua vizur.
 
Bila shaka wanasoma humu, inabidi wabadilike huwezi kupata habari kwa kina inakuwa rasha rasha tu.Habari za mchezo ndio kabisaa
 
Sera ya ya ITV ni kwamba taarifa zake za habari za saa moja, saa mbili usiku na saa tano zinaonyesha ahabri za ndani na mataifa ya africa tu. habari za ulimwengu wanajiunga na CNN na aljazera na mashirika mengine. hiyo ni in house policy.
Inabidi wajifunze kutangaza wenyewe
 
Siyo sera ya ITV kutoa taarifa za kimataifa! Tangu kuanzishwa kwake ITV hutoa habari za ndani na nchi za Afrika mashariki ambazo ina wawakilishi!
Mbona siku za karibuni wanatoa habari kuhusu Hamas na Israel, wamebadili sera yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…