The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,279
Mchina oyeeKilichofanyika ubungo ni ushuhuda mwingine jinsi mtu mweupe alivyo sharp kutatua matatizo yanayo mkabili. Yaan sijui hata wanatumia sehemu ipi ya ubongo, linapokuja swala kutatua matatizo yao
Nachukia kusema hivi, kwa tafsiri kuwa Hao slow thinkers na hata mie nipo, na baadhi watatafsiri ni kumtukuza mweupe, lakini waungwana hakuna kitakacho weza Kureplace ukweli,, ukweli una desturi ya kusimama peke yake hata ufanyeje.
Juz hapa Ethiopia 737 max imeanguka, issue ni nose pitchdown Kutokana na autopilot software issues, kumbe pilots kadhaa huko kwa wenzetu walishakutana na issue hiyo kwenye 737 max na walikuw a quick enough Ku recover bila ku make headlines bila (ajali) wengine hadi walitoa maoni anonymous kupitia boeing kuwa instructions manual on 737max was criminaly insufficient
Foleni ya ubungo mataaa inasumbua toka miaka ya 2000, kuna wakati hadi lowassa alikuja na mkakatati wa njia Tatu kwa wanaokwenda mjini, mpango ambao ulikuja kufeli kwa sababu kadhaa,
Mchina anakuja kutatua foleni kwa round about ya zege chafu!
Sent using Jamii Forums mobile app