Tangu awamu ya tano ianze kuna halmashauri imepokea fungu la maendeleo?

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,089
2,198
Hivi utawala huu wa awamu ya 5 tangu ushike nchi kuna halmashauri yoyote imepokea fungu lolote la maendeleo?

Kama ndio nitajieni hiyo halmashauri.
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
 
Hivi watanzania tunaelewa kweli we umeambiwa uitaje unaleta propaganda zako za kitoto ebu tembelea website ya wizara ya fedha huwa wanatoa kiasi cha fedha walizoipa kila halmashauri kwa kila mwezi harafu urudi hapa kuchangia.
 
Kwa mtindo huu halimashauri nyingi zitakuwa taabani mana wanaahidiwa pesa zitaletwa mpaka mwaka unaisha hazijafika hata senti,miradi imedorola tu
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
Mkuu hata budget ya wizara ya utumishi ilipitishwa pia au hukumbuki mkuu?
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
ha ha kweli we ndege John kazi kusinzia tu. jitahidi utafute katika ile 29 trillion ya 2016/2017 ni ngapi imetoka.
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
Ng'ombe wewe. Labda mungu makonda ndo atambariki
 
hizo pesa huko halmashauri mlikuwa mnazifisadi tu na hazita kuja tena milele.....awamu zilizopita mlizifanyia nini Zaidi ya kuziiba tu?

Mkuu;
Mbona mnatoka nje ya mada jamani?? Mlalamikaji kasema, nitajieni halmashauri yoyote iliopelekewa fedha zilizo idhinishwa na bunge kwenye bajeti kuwa wapewe kuzifanyia maendeleo. Unaacha kumjibu unamwita mwizi. Nasema; hizi id fake zenyu zinawapa sana kichwa. Wallah, mngeliishia segerea nyote.
 
Hata zisipokwenda ni sawa. Si hizo hela nyingi zilikuwa zinaibwa tu. Sizonje baba endelea kukaza uzi
 
Katika hili la maendeleo kwenye sekta ya ujenzi halmashauri zote ni mashaidi..
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
Mungu yupi??? Mungu hapendi dhulma mkuu....
 
Back
Top Bottom