Tangu awamu ya tano ianze kuna halmashauri imepokea fungu la maendeleo?

Litatoka wapi hilo fungu la Maendeleo wakati Awamu iliyopita haikuacha hayo Mafungu?

Ni suala la kujiongeza kidogo tu Jpm alikuta Hazina IPO tupu mkuu.
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen

Ongea pole pole,yaani povu linakutoka hivyo kisa kuwa gwaya mazee wa magwanda tu? jibu tu hoja kama hela zimekuja aulaa ,huta kufa
 
Hivi utawala huu wa awamu ya 5 tangu ushike nchi kuna halmashauri yoyote imepokea fungu lolote la maendeleo?

Kama ndio nitajieni hiyo halmashauri.
Bavicha wakikosa cha kuandika ndipo wanaagukia huku.
Chadema inazo halmashauri zao,kwa nini usipate taarifa ya uhakika ufipa ambayo haina chenga zozote?
Bajeti ni sheria,kutokutoa pesa ya maendeleo bila ya sababu za kutosha ni kukiuka sheria kamanda
 
Kuna halmashauri kunajengwa international airport na ofisi kubwa ya TRA hata kama hakuna kodi inayokusanywa Kihivyo
Bomba dia lazima zitue uwanja huo hata kama hamna abiria wa kutosha. Tutapakia sato kama hamna abiria
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
hizo pesa huko halmashauri mlikuwa mnazifisadi tu na hazita kuja tena milele.....awamu zilizopita mlizifanyia nini Zaidi ya kuziiba tu?
Nyie mmekula nini Leo?! Mbona mnaropoka soma mada uelewe sio mividole kwenye keyboard unawahi wapi?! Ebo!
 
Mkoa wa Njombe kwa halmashauri zote jumla Billioni 400 kwa ajili ya ujenzi,upanuzi na ukarabati wa barabara
Iko hivyo kwa mkoa wangu
 
Hata baadhi ya taasisi hazina Pesa za maendeleo kabisa hata miradi kama ya majengo iliyo kuwa inaendelea kabla ya awamu ya 5 haija anza imesimama.... sijui kwa nin wasiimalizie wakaanza yao....wakandarasi wako so much frustrated.....
 
Mkuu;
Mbona mnatoka nje ya mada jamani?? Mlalamikaji kasema, nitajieni halmashauri yoyote iliopelekewa fedha zilizo idhinishwa na bunge kwenye bajeti kuwa wapewe kuzifanyia maendeleo. Unaacha kumjibu unamwita mwizi. Nasema; hizi id fake zenyu zinawapa sana kichwa. Wallah, mngeliishia segerea nyote.
Usikasirike,ID siyo issue. Waweza kukuta ni Binamu yako! Kubwa angalia hoja!
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
... Watu wanafeli mitihani kirahisi sanaa, haya hata tano...
 
Mkuu serikali inafanya kazi Kwa sheria. Bajeti ilipitishwa kwanini hela zisitumwe.. Msidangwanye na propaganda za ma chadema siku hizi yamekuwa majinga Sana yananikera Sana hasa kutetea wauza ngada.. Magufuli MUNGU wetu atazid kumbariki..tuseme amen
Akili ma.ta.ko wewe!!
 
Kwa mtindo huu halimashauri nyingi zitakuwa taabani mana wanaahidiwa pesa zitaletwa mpaka mwaka unaisha hazijafika hata senti,miradi imedorola tu
Kwani halmashauri hazina own sources? Wamekaa tu wanasubiri hela za TRA
 
Back
Top Bottom