Tangu apate ujauzito Hataki tufanye mapenzi

Tangu apate ujauzito Hataki tufanye mapenzi

vumilia unajua wanawake wengine wakiwa na ujauzito huwa wanachukia wanaume zao lamsingi ni kuvumilia. Ikiwezekana usimuoe haraka akikisha mtoto ana mwaka mmoja utajua tuu.
 
Kungekuwa na iubadilishana angeelewa, ila kwa sasa nwache ajichetue tu.

Miezi saba? Ukute mwenzie hormone zimekausha kila kitu yeye anawaza nchezo.

Mwanamme mchoyo sana huyu.

Kungekuwa na uwezekano mkabadilishana wewe ukabeba hiyo mimba, angekupa tamtam asubuhi na jioni hadi uombe poo.

ngoja washauri waje. Kongosho, snowhite mjongee huku puleeezzz
 
Last edited by a moderator:
Jitahidi muende kwa daktari akatoe maelezo ya kitaalamu zaidi itasaidia kumpa ujasiri,ukizingatia alishawahi pata matatizo nyuma,hivyo halali aogope kama hana elimu,POLEE
 
Pole sana, nijgekua najua hayo mambo ningekushaur,
Lkn kwa vile sijui, Nasubir hapahapa na me nijifunze
 
Salaam JF.

Sasa kuna huyu shemeji yenu na wifi yenu hapa ambaye ana ujauzito wa miezi 7 sasa hivi.
Sijamuoa ila naishi nae na natarajia kumuoa panapo majaaliwa.

Tatizo lililofanya nije kwenu ni kwamba huyu mpenzi kwa kweli amekuwa na kiburi sana, na hataki kabisa tufanye mapenzi, yaani mpaka kwa mbinde tena mara moja kwa mwezi tangu amebeba ujauzito na nikipiga moja tu hataki kabisa kuendelea tena wakati mwingine hata kabla sijashusha yeye hataki visingizio vingi mara utamuumiza mtoto etc, wakati ana miezi miwili alipata kajitatizo akaambiwa apumzike kwa wiki moja sasa ndio imekuwa sababu kwa kweli, hataki nimguse kabisa tukilala yaani yeye kule mimi kule, nilianza kuishi nae miezi miwili kabla hajabeba ujauzito na kwa kipindi hicho tulikuwa tunafanya kila siku karibia.

Sasa nashindwa kuelewa kwamba ujauzito ndio ufanye akose namna ya kuishi ki romantic na mimi? Yaani mpaka natamani nighairi kumuoa ingawa nishatoa mahali kwao tayari maana naogopa isije ikawa ndivyo maisha nitakayokuwa nikiishi baada ya kumuoa.

Nikipata nafasi ya kufanya huwa namuandaa kabisa mpaka nahakikisha anaililia mwenyewe lakini kwa sasa ndio hivyo hataki nimsogelee, anachowaza yeye ni shela zuri na ukumbi mzuri na sherehe nzuri ya harusi, mambo ya nyumbani ukimwambia kisingizio ni ujauzito alio nao, hapiki wala kufua wala kufanya kazi za nyumbani, mara moja moja mpaka nimseme ndio ataanza kufanya kazi ndogo ndogo, wazoefu naomba mniambie, huyu ni huu ujauzito ndio unasababisha haya au anawezekana anasingizia ujauzito?

Maana kazini anaenda na anafanya kazi kama kawaida, na mimi kila siku nampekeka na gari langu na kumuonesha kuwa namjali kwa pale niwezapo, yaani nikimwambia nina ugwadu hataki anasema kwa sasa kwa kweli utanisamehe, na hata siku moja alishawai kuniambia nikapige puli kama nimezidiwa.

Nishaurini wakuu kabla sijafanya maamuzi magumu.

Kwa kuwa ndio mara yako ya kwanza ndo maana unapata hii shida ila mimba zina complications nyingi ikiwemo mwanaume kuwa Malaya sana ila omba Mungu usije ukawa unapenda vitu vichachu na kuchukia harufu Kali kali
 
naona alikua hajui huyu kaka inakuaje wanawake kwenye masuala ya mimba,kuna bwana mmoja naye ilikua hivyo hivyo mpaka akaja kwa wife wangu ndio akamweleza akamwelewa inavyokua mwanamke mjamzito,huyu kaka angepewa mwezi tu abebe hiyo mimba angejua utamu wake
 
Jitahidi muende kwa daktari akatoe maelezo ya kitaalamu zaidi itasaidia kumpa ujasiri,ukizingatia alishawahi pata matatizo nyuma,hivyo halali aogope kama hana elimu,POLEE

Huwa naenda nae clinic, na wakati anaaza clinic nilimuuliza dr na dr alisema ujauzito uko ok na kila k2 kipo normal anipe tu taratibu, but yeye hataki, kweli ni mbishi sana kwenye eneo hili, sometime najuta why nilitoa mahali mapema.
 
usilalame tafuta kamchepuko ka karibu uwe unapooza la sivyo itakuchosha bure
 
Kaka mimba sio Sukari muache dada apumzike tena unayo safari ndefu ya kuto kula urodo hadi miaka miwili mbele kumbuka kuna mtoto anakuja mkeo mtarajiwa atakuwa biz na mtoto wewe umesahaulika hapo tena chamsingi vumilia tu kaka.
 
Michepuko sio deal, kama unaweza nendeki kwa mtaalamu psychologist naamini mkitoka pale everything kitakuwa poa...naweza kukusaidia jinsi ya kumpata huyo mtu kama upo Dar lkn gharama zake sikubwa kabisa na ana uwezo wawakusaidia endapo akikubali uende nae...ILA MICHEPUKO USIJARIBU
 
Vumilia mkuu. Hutaki mtoto atoke msafi siku ya kujifungua? Tendo husababisha mtoto atoke na mauchafu...
 
Nashukuru Mungu huyu wa kwangu ananipenda na kunipa vizuri na ujauzito wake.
Mama kijacho nakupendaje.

Mkuu vumilia tu mpaka ajifungue, usifanye mchezo na mama wajawazito wana saikolojia yao complex sana.
 
Kumdrive kazini haimaanishi kwamba ndo unamjali saana,nah.

Listening her innermost cries is a real caring. Respect her feelings...

She's yours, we calm down mpk awe fresh. She'll give you to the fullest.

Tena huyo mtarajiwa anakujali, anakupenda sana. Mpk anakushauri ukizidiwa upige nyeto.

W/ke wakiwa preg hua wana vitabia flani vya kubadilika, kukosa amani, furaha, kuwa wakali nk nk...
 
pole sana ila iyo hali ya kukosa hamu ya tendo inatokea sana kwa wajawazto mm mwenyewe tulikuwa tunagombana na mme wng mara nyng kwa ajl ya hlo suala lkn baada ya kujifungua mambo yanabadirika ivyo sikushauri uachane nae maana ni ujauzito tu ndo ivyo.
 
Back
Top Bottom