Unalalamika wakati hata haujamuoa,kwa maelezo yako unaonekana ni muoga wa maisha. Umuache ili umuoe mwingine, na huyo mtoto akue bila baba? Na ukimuoa mwingine huyo ndio atakuchukia mpaka anajifungua,sababau atakuwa na historia yako tena atakufanyia makusudi, sasa cjui nae utamuacha!
Mimba ndivyo zilivyo,wanawake wengine wakiwa wajawazito, utakuta wanawapenda sana waume zao, wengine wanawachukia hata wakiwaona wanatema mate, wangine wako normal. Ila wakisha jifungua ile hali inaisha, hivyo mvumilie, ukipewa hiyo mimba hata dakiki 1 utazimia.