hahaaaMtoto wa mzee HASSAN lini umeanza kuwa mganga wa kienyeji??rubbish
Mambo ya selfie, hivyo ndio vitendea kazi 😀.My brother ukija kukuta ndizi,tango,na karoti kwenye friji la mwanamke ambae yupo singo,,usile,,,narudia tena usile
_USHAURI WA BURE NIME WAPA_
Mwanaume aliye single tusile nini?My brother ukija kukuta ndizi,tango,na karoti kwenye friji la mwanamke ambae yupo singo,,usile,,,narudia tena usile
_USHAURI WA BURE NIME WAPA_
Hahaha. Imebidi nicheke tu. Ila nadhani jamaa kamaanisha ni vigegedeo vya wanawakeUnataka kusema hayo matunda ni jinzia ya kiume?