Tangazo: Upotevu wa vyeti vyangu

Tangazo: Upotevu wa vyeti vyangu

mwakatz

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
5
Reaction score
0
TANGAZO!! TANGAZO!!

Naomba kutoa taarifa juu ya kupotea vyeti vya ndugu Evelyne Erasto Mosha vilivyoachwa ndani ya daladala (UDA). Vyeti hivyo vikiwa ni kama ifuatavyo:
1-Cheti cha kuhitimu kidato cha NNE chenye namba Certificate ya form4,S 1187/0039.( st Mary Goreti girls secondary school)

2-cheti cha leaving form six chenye namba S.1187/0552 (st Mary Goreti girls secondary school)

3-Cheti cha kuzaliwa chenye jina Evelyne Erasto Mosha

4-Cheti cha kifo cha mama mzazi jina Agatha Leander Kabutta.

5-Cheti cha kuzaliwa cha mzazi Erasto Theobald Mosha.

Kwa yoyote atayeviona naomba awasiliane nasi kupitia nambari za Simu.

0659285469
0713733299

Tunaomba ukipata habari hii umpe taarifa na mwingine .
 
Pole sana,naamin wasamalia wema wataviwasilisha na mungu atawabariki sana
 
Back
Top Bottom