"ngozi yako ni laini na nyololo"
"mh kama halili"
"hakika wewe unatumia REVOLA"
"Ni kwerii"
araf kinakuja kimziki [emoji445] tu li liiii [emoji445]
kitambo sana edhi hizo ITV ndo habari ya mjini na wanaomiliki tv wanaesabika kitaan
yule demu sasa wengne tulikuwa tunasema ni mtoo Wa MENGI wengne tunasema ni kiwete yaan ilikuwa shida sana