mi sio tangazo bt ni kale kakipande ka east afrika tv ka bajaji inatembea then inageuka inakua mtu then wanamalizia na logo yao, jaman kananichefu, nimekachoka, afu kanakua na sauti kubwa kuliko kawaida. wabadilishe.
Napenda tangazo lile la Nyati cement wanavyoboa nyumba had mlima unaporomoka wanakimbilia kwenye nyumba ileile tena wanayoibomoa huwa nacheka kabisaa hasa enginea anaposema leta bodoza vunja kabisa...
Na jingine la Airtel fursa tangazo zuri sana natamani niyapate niyaweke kwenye pc & cm yangu...
Tangazo bora kuliko yote ni la Haki Elimu, linanza kumuonesha mwalimu akifunga mlango wa nyumba mbavu za mbwa,kisha anakatiza kimtaro na kufika shuleni huku majengo yanauliza nikudondokee au nikusamehe.
Hili tangazo la kuhuzunisha sana lakini huwa nacheka sana ile staili dawati lilivyoanguka na wale watoto...yn pamoja na kwamba walikuwa wanaigiza ila wamecheza uhalisia sana
Hili tangazo la kuhuzunisha sana lakini huwa nacheka sana ile staili dawati lilivyoanguka na wale watoto...yn pamoja na kwamba walikuwa wanaigiza ila wamecheza uhalisia sana