Tangazo Toka kwa Baba Mwenye Nyumba

Tangazo Toka kwa Baba Mwenye Nyumba

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
f1203e17d897dce8b29c0df399de4421.jpg
 
hapo watafukuza wengi maana hata mabubu hupiga kelele! kiziwi ndo usiseme maana yeye binafsi hazisikii hizo kelele ndo zinapigwa mpk nyumba inatikisika!
 
Baba mwenye nyumba una yako!... kelele za redio.. mchiriku waalaaaa.... ila wenzio wakigegeda unaumia ... wivu huo sio kero ya kelele!...
 
Hyo Mzee anavunja haki za binadam hamna wanaharakati hapo kwenu wamchukulie hatua.
Aburuzwe kwa pilato hyo
 
hapo watafukuza wengi maana hata mabubu hupiga kelele! kiziwi ndo usiseme maana yeye binafsi hazisikii hizo kelele ndo zinapigwa mpk nyumba inatikisika!
Hapo kwa kiziwi inabidi wakiwa wanapangishwa vyumba vinafungiwa "sound proof"
 
Mwenye nyumba kumbuka ujana una mwisho wake kama wewe una nguvu za kugegeda isiwe tabu kwa wenzako
 
Ila kuna watu wanakera jamani...unakuta kelele nyingi wakati ukiliona ilo demu lenyewe lililokua linapiga kelele??limekomaa tu
 
hapo watafukuza wengi maana hata mabubu hupiga kelele! kiziwi ndo usiseme maana yeye binafsi hazisikii hizo kelele ndo zinapigwa mpk nyumba inatikisika!
ha ha haa..! yaan we jamaa.
 
hahaaa..nakumbuka enzi za chuo tumeingia kupangisha mtaani unakuta nyumba nzima ni wanachuo tupu ikifika wkend ucku izo kelele. Kuna watu wanatomb*** kama wanapigana ngumi kwa izo kelele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom