Tangazo tangazo wana jf

Tangazo tangazo wana jf

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,219
Mwizi anatafutwa
 

Attachments

  • 1410157989227.jpg
    1410157989227.jpg
    32.6 KB · Views: 229
Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha .

Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf?
 
Mode. Sijaelewa kwanin jf hatuna "unlike" maana ingeleta nidham ya mtu kufikiri kabla ya ku post otherwise vitu kama hivi havitaisha .

Sasa hili tangazo linamhusuje mwana jf?

Hii ilipaswa kupelekwa Jukwa la Jokes, si hapa...
 
hivi jamani kweli mtu afikiri muda wake anaoupoteza kwa kupost vitu visivyoeleweka hapa
yaani tunafungua nadhani ni tangazo la muhimu kumbe ni ukichaa tu hapa mods angalieni post zingine jamani
 
Back
Top Bottom