Tangazo tangazo tangazo: Yah tanesco na serikali ya ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo tangazo tangazo: Yah tanesco na serikali ya ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Jul 24, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Itakuwa vizuri tanesco na serikali ya CCM zibaidiliehse majina ya miradi yake inayoendelea hivi sasasa vijijini ma wilayani.
  Badala ya kuitwa mradi ya Kusambaza Umeme iiitwe Miradi ya Kusambaza Mgao wa umeme. Au mnaonaje wadau

  Mfano uienda kwneye tovuti ya Tanesco utakuta miradi hii
  • Electirification of Malya towns in Kwimba District
  • Electrification of Kilindi District in Tanga region
  • Electrification of Bahi District in Dodoma region
  • Electrification of Uyui District in Tabora region
  • Electrification of Matema Beach in Kyela District
  endelea kusoma hapa Government Funded - Ongoing Projects


  Sasa njiuliza hapa hii miradi
  • Wanafanya electrification au ndio tanesco wanafanya short circuit. na overloading. teh teh teh Huo umeme uko wapi?
  • inaonyesha poor project management and planning. Kwa nini wasisimamishe hiyo miradi hizo fedha waziingize e kwanza kwenye miradi ya kuzalisha huo uememe alafu ndio baadae waje waangalie jinsi ya kuusambaza. Au ndio ugawana umasikini ?
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tanesco ni dili, wakubwa wanaomba kila wakati utokee ukame ili deal ziende!! Hakuna kitu ingine ni hilo tu. Tutasonga mbele kama mission town tutaziacha au kuwafunga baadhi ya viongozi walio madarakani kwa sasa na kubadili katiba ya nchi.

  Tanzania ujanja ujanja mwingi usiokuwa na manufaa kwa nchi, bora haya maujanja maujanja tungekuwa tunayatumia kuleta pesa za kigeni kutoka mataifa makubwa kama USA, UK, China nk ingesaidia. Lakini tunaibiana siye wenyewe, na kusaidia wezi kutoka nje ya nchi kuiba zaidi.
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa TANESCO isidanganye waTZ kuwa ina uwezo wa kusambaza umeme vijijini au Wilayani. Inabidi wasimamishe shughuli zote watafute kwanza huo umeme wa kusambaza kwani kwa sasa haupo kabisa . Najua sasa wanapambana kulinda ajira kwa kujidai na vipindi vya kwenye TV ambavyo havina tija wala haijulikani kwa nini vinaendelea kuwepo kuwapa waTZ matumaini ambayo hayapo. Hivi vipindi vinatumia hela nyingi na ni vema vikaachwa hizo hela zikapelekwa kutafuta kwanza umeme wa kutosha.
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hivi mishahara ya hawa ndugu inatokea wapi wakati hawazalishi!?
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Hizo ni kudanganya wafadhili ili wapewe pesa wale. Mi nashangaa kwa nini wasingesimamisha miradi yote ili angalau wawekeze kwenye uzalishaji hata kwa miaka miwili? Kazi yao ni kununua magari mapya na kupandisha gharama.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Hahahaha ha ndio hivyo hata hii bajeti ya mwaka huuu kuna mamilioni kibao kwa ajili ya hiyo miradi ya kusambaza mgao wa umeme wilayani .
   
Loading...