TANGAZO!!!! Tangazo!!!!! Mnada mnada

Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
11,289
2,000
Halmashauri ya Manispaa ya Kinodnoni inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa itaanza kwa njia ya Mnada wa hadhara magari na Mitambo chakavu tarehe 19/12/2013

INA ZA MAGARI YATAKAYOUZWA
• SUZUKI Escudo
• Toyota D/C pick up
• Suzuki samurai
• Landrover defender Pick up
• Isuzu Waste Compactor

AINA YA MITAMBO
• Matrela
• Hdrofom block making

MASHARARTI YA MNADA
1. Chombo/ kifaa kitauzwa kama kilivyo mahali kilipo
2. Mnunuzi atalazimika kulipa Amana (DEPOSIT) papo hapo si chini ya asilimia ishirini na Tano (25%) ya thamani ya chombo au kifaa alichonunua na kukamilisha malipo yote katika mda wa siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya kifaa kununuliwa
3. Kushindwa kufanya hivyo kutamuondolea mnunuzi haki zote za ununuzi wa chombo/kifaa kinachohusika na AMANA (Deposit) haitarudishwa.
4. Mnunuzi atatakiwa kuondoa/kuchukua chombo alichonunua katika muda wa siku saba(7) kuanzia siku ya kukamilisha malipo
5. Ruhusa ya kuangalia vyombo hivyo itatolewa siku mbili (2) kabla ya tarehe ya Mnada
6. Mnada utaanza saa nne kamili ( 4:00) asubuhi
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom