Habari wana jf.naitwa costantine naish mwanza.ni mtengenezaji na muuzaji wa biodiesel.biodiesel ni diesel mbadala inayotumika katika engine zote za diesel za magari.na magenerator.natoa mafunzo kwa yeyote atakayehitaji kujua jins ya kutengeneza.inatengenezwa kwa kutumia mafuta ya kula.0763 689661