jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,401
- 4,965
Kufuatia zoezi la kuzima simu feki litakalofanywa na TCRA, mamlaka ya dawa nayo imetangaza kuzima makalio feki ifikapo tarehe 16 mwezi ujao. Watu wote wenye wasiwasi juu ya uhalali wa mizigo ya wenza wao mnashauriwa kucheki kama ni origino au feki kabla ya tarehe kufika. Uliyedhani snura anaweza kuwa vanessa mdee