Nchemba akisikia hizi habari atajinyonga, mbona mnataka kumfukuzisha kazi yake ya kugonga meza pale kwenye ukumbi wa taarabu za magamba. BoT amemwagwa baada ya kuchota pesa za EPA ili ziingizwe kwenye kampeni ya Dr.dhaifu.
Mbona Chadema mnataka kumlaza na njaa, ameshazowea kugonga meza na kusinzia kule kwenye ukimbi wa Taarabu. Sasa akifukuzwa Iramba na wananchi ataweza kuilisha familia yake?
Muoneeni huruma au mnataka awe kama Nape au Le mutuuuuuuzi