Tangazo la unga wa ngano wa MO E-FM radio ni uzalishaji mkubwa

Konkmaster

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
360
291
Hello TCRA mko likizo.? Tangazo la unga wa ngano wa MO E-FM radio ni uzalilishaji mkubwa wa utu wa mwanamke “ maandazi lakini kama umepika bila nguo TCRA mpo kweli au Mmeenda likizo?
 
Labda wanamsubiri Dkt. Harison Mwakyembe na mwenzie yule wa viwanda tusijevuruga uwekezaji

Actually na baraza la sanaa pia
 
Hebu liweke hili tangazo nilisikilize kabla ya kukoment.
 
Hello TCRA mko likizo.? Tangazo la unga wa ngano wa MO E-FM radio ni uzalilishaji mkubwa wa utu wa mwanamke “ maandazi lakini kama umepika bila nguo TCRA mpo kweli au Mmeenda likizo?
Yaani mkuu hata mm nilishangaa sana..
Yaani ni uninga mtupu
 
Hello TCRA mko likizo.? Tangazo la unga wa ngano wa MO E-FM radio ni uzalilishaji mkubwa wa utu wa mwanamke “ maandazi lakini kama umepika bila nguo TCRA mpo kweli au Mmeenda likizo?
hujui kiswahili wewe!waulize watu wa pwani nini maana yq huo msemo!
 
Back
Top Bottom