Tangazo la TBC naibu waziri Mulugo

Tangazo la TBC naibu waziri Mulugo

mshamu

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
418
Reaction score
134
Kama tunavyojua Mulugo kapigwa chini sasa wasioona wanamwaliko kama mgeni rasmi kwenye siku ya maandishi ya wasiona. TBC wameshindwa kuedit hilo tangazo.
 
Huko tbc pia wanaajiriwa vilaza kama mulugo/nkamia etc kwahiyo msiogope sana ila mulugo atakuja kumalizia ungwe!
 
ccm na viongozi wake ndo majanga makubwa zaidi, yaani Jenifa na Mulugo ni kopo na mfuniko
 
Hebu fikiri....mara ya kwanza....mara ya pili.....mara ya 3 watoke wapi
 
Jenister Joakim Mhagama na Mulugo ni pipa na mfuniko wake! Mimi naichukulia kama hujuma, Alianza mungai kuua elimu ya Tanzania! Since then tumeshuhudia Zero za kutisha! Tumeshuhudia baraza la mitihani liki wafelisha kwa makusudi baadhi ya wanafunzi! Tumeshuhudia baadhi ya shule zikibebwa kwenye mitihani ...Tumeshuhudia watoto zaidi ya 5000 wamefaulishwa ingali hawajui kusoma wala kuandika! Tumeshuhudia Waalimu wakilipwa mishahara duni kuliko watumishi wengine wote! ...WOTE tunafahamu kuwa ELIMU ndiyo msingi na ufunguo wa maendeleo ya mwanaadamu, iweje elimu inachakachuliwa kiasi hiki? Kwanini tusiichukulie hii kama hujma za kutufanya Taifa la watumwa tusioweza kujitegemea wavivu wa kufikiri?... something should be done tena very soon!
 
Katika hali hii..ninakubaliana na hoja ya Mawaziri wasitokane na wabunge..maana kikwete ameshindwa kupata uwanja mpana wa uteuzi maana hao ndo walioko bungeni..wataalamu wako mtaani na maofisini
 
Back
Top Bottom