Tangazo la tahadhari kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam kuhusu Ugaidi

veronikah

Member
Apr 9, 2015
19
5
Tangazo Mikakati ya Ulinzi na Usalama Chuoni
attachment.php

Tangazo Mikakati ya Ulinzi na

PLEASE SHARE NA MWENZAKO

SOURCE:https://udsm.ac.tz
 
Attachments

  • tangazo2.jpg
    tangazo2.jpg
    43.1 KB · Views: 2,300
Wakumbushie pia watu wote kutembea na vitambulisho vyao. Maana si kwa ugaidi tu hata vibaka siku hizi wamekuwa sehemu ya wanachuo.
 
Kusema ukweli ulinzi ni mkali sana japo bado kunahitaji watu wa intelijensia either kwa kupenyeza kwa baadhi ya wanachuo au malecturer au watu binafsi...jana nilienda huwa napenda kutumia internet ya mdegree niliona jinsi auxilliary polisi jinsi walivyosambazwa kila kona mpaka nikaogopa nikasema wanaweza kunisimamisha na kunihoji japo nilishamaliza miaka miwili iliyopita pale udbs.So ilipofika saa mbili nikaona nijiondokee yasije yakatokea mengine...

USHAURI:: Kwa udsm auxilliary hawatoshi panahitajika intelijensia ya hali ya juu isiyovaa jezi ile inaweza kujichanganya na wanachuo bila kujulikana
.all in all alshbab hawawezi kushambulia udsm never ever although mazingira yake hayajawa protected kiivyo hasa kiulinzi

TATIZO KUBWA NI vibaka wanaopiga madent na kupora laptop maneo ya kanisani pale bondeni chepo, bondeni njiapanda ya kuwenda Hall 7 na huku COET njia ya kuelekea kwenye swimming pool ndiko kunahitajika ulinzi wa hali ya juu sana...kutokana na kushuhudia mara kwa mara kuporwa wanafunzi mali zao.
 
usalama gani tena unaohitajika hapo udsm wakati uwt wa ngazi za uhadhiri, wanafunzi, makondakta, madereva pikipiki na bajaji na mpaka wapishi wa mama lishe wapo na wamejaa tele? mbona hata mkuu wao " amka na ndala " nae ni uwt tena aliyetukuka?
 
Ulinzi pale chuoni ni kazi ngumu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba barabara zinazoingia na kutoka chuoni zinatumiwa na watu wa kila aina. Kuna mamia ya magari yanapita chuoni hapo muda wote wa saa 24. Pengine ni wakati wa kuangalia uwezekano wa kuwa na barabara mbadala.
 
Back
Top Bottom