Habari zenu wakuu,
Nimesikia kuwa tayari waziri wa Kazi mama Kabaka ameshatangaza Tangazo la serikali kuhusu mishara mipya, kwa wenye kulijua suala hili zaidi naomba mtusaidie kama kweli hilo tangazo limtoka na kama limetoka ni namba ngapi na la tarehe gapi (GN no.ngapi).
By the way Naomba kuuliza ijapokuwa waziri alisema bungeni kwenye speech ya bajeti, je inawezekana ikatumukia ndio tamko rasmi na waajiri kuanza kulipa au mpaka itangazwe kwenye G.N ndio ianze rasmi???