Tangazo la sabuni inayomuosha muafrika kuwa mchina lazua taharuki kuhusu ubaguzi wa rangi

ila tukiondoa mambo ya mzungu na mu Africa mtu mweupe na mweusi ni nani anayevutia?
assume labda kwenye hii dunia tulikuwa wa Africa tu hakuna wazungu, wa africa weupe wasingependwa zaidi ya weusi ti titii??
mkuu amini uzuri wa rangi sio utashi ambao mtu anazaliwa nao ni invention tuu uliyoikuta tangu ukiwa mdogo na hauwez ibadilisha coz ishastick kichwani.utaonaje uzuri kwenye kitu ambacho hushaaminishwa ni kibaya? mimi siku hizi nikimuona mtu kavaa suruali pana naona kachukiza though zamani hayo ndo yalikuwa mapigo ya kutokea na ndo fashion na nilikuwa naona wamependeza.so naamini vtu vingi tunaviona vzuri ni kwa sababu tumeaminishwa kuwa ni vizuri.
ila tukiondoa mambo ya mzungu na mu Africa mtu mweupe na mweusi ni nani anayevutia?
assume labda kwenye hii dunia tulikuwa wa Africa tu hakuna wazungu, wa africa weupe wasingependwa zaidi ya weusi ti titii??
 
For the first time nasema aliyetengeza na aliyerusha hilo tangazo ni WAJINGA sana maana wana genes za ubaguzi wa kiwango cha juu kabisa. Yaanai wanasema waafrica tunapashwa kufuliwa / kucream tuondoe rangi yetu ya asili ambayo kwao ni uchafu na tuwe weupe yaani wasafi!!!!!!!!!!!!!!. Pumbavu sana.
TCRA mko wapi au mnashughulika na wa wanaJF tuuuu!!!!!!!!!!!!! na Whats up!!!!!!!!!!!!!!!!
Mie sijaona kama kuna ubaguzi hapo. Tatizo ndani ya akili yako uko inferior to other race.
 
For the first time nasema aliyetengeza na aliyerusha hilo tangazo ni WAJINGA sana maana wana genes za ubaguzi wa kiwango cha juu kabisa. Yaanai wanasema waafrica tunapashwa kufuliwa / kucream tuondoe rangi yetu ya asili ambayo kwao ni uchafu na tuwe weupe yaani wasafi!!!!!!!!!!!!!!. Pumbavu sana.
TCRA mko wapi au mnashughulika na wa wanaJF tuuuu!!!!!!!!!!!!! na Whats up!!!!!!!!!!!!!!
kwani TCRA wanaondoa uhalisia wa tangazo akili za kichina hizi ni shida
 
Baada ya tangazo kuangaliwa na watu zaidi ya 6.5m kwenye YouTube na kulaaniwa vikali duniani kote jamaa wameamua kuitoa na kuomba radhi
 
Back
Top Bottom