Tangazo la sabuni inayomuosha muafrika kuwa mchina lazua taharuki kuhusu ubaguzi wa rangi

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Tangazo la sabuni ya kichina linalomuonyesha msichana akifua nguo kisha kijana mweusi anakuja ku 'flirt' naye kisha mchina anamtumbukiza kwenye mashine ya kufulia na kumtoa akiwa amebadilika kuwa kijana wa kichina limezua taharuki kuhusu ubaguzi wa rangi huko majuu
tabia za watu kuwasifia wanawake weupe limekuwa likichangia watu weusi kuonekana wabaya

poor creativity..halijakaa poa kabisa
Hapa hakuna poor creativity hata kidogo ila kuna ubaguzi wa race! Ukiangalia tangu mwanzo unaona kijana wa kiafrika anamsogelea mchina kwa nia ya kumbusu mdomoni (amempenda). Mchina anajifanya kama kumwita halafu anamsokomeza ndani ya mashine ya kufulia kwa dharau! Baada ya machine kufanya kazi yake anageuka kuwa kijana wa kichina (sio weupe tu bali amebadilika race yake kutoka mwafrika kuwa mchina). Baada ya kuwa mchina bibi sasa ndio anamwa-admire!!
 
Mmi naona liko sawa as long as ni brand wanatangaza sio mbaya. Ubaguzi wake ni wwe mwenyew utakavo interpret hyo hali.
 
For the first time nasema aliyetengeza na aliyerusha hilo tangazo ni WAJINGA sana maana wana genes za ubaguzi wa kiwango cha juu kabisa. Yaanai wanasema waafrica tunapashwa kufuliwa / kucream tuondoe rangi yetu ya asili ambayo kwao ni uchafu na tuwe weupe yaani wasafi!!!!!!!!!!!!!!. Pumbavu sana.
TCRA mko wapi au mnashughulika na wa wanaJF tuuuu!!!!!!!!!!!!! na Whats up!!!!!!!!!!!!!!!!
 
what does TCRA got to do with this?
 
Kwakweli huo ni ubaguzi. Hiyo si ni sabuni ya kufulia nguo? Inahusu nini mtu kubadilika rangi na nywele? Hatar sn
 
Back
Top Bottom