TANGAZO LA NAFASI yA KAZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANGAZO LA NAFASI yA KAZI

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Byendangwero, Apr 19, 2012.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Anatakiwa mtu mwenye kujituma kwa kazi ya Meneja wa shamba (Farm Manager). Shamba husika liko Segerea jijini Dar-es-salaam. Shamba hilo pamoja na mambo mengine linalo ng"ombe wa maziwa wapatoa arobaini; kuku wa mayai elfu moja; mashine ya kutotoa vifaranga; bwawa la kufugia samaki na ndege wengineo.

  Mtu anayetakiwa kwa kazi hiyo awe amesomea elimu ya mifugo (vertenary science) kwa angalau ngazi ya cheti na pia awe na uzoefu wa kazi hiyo. Mshahara mzuri na marupurupu mengineyo yatatolewa kwa kadri ya elimu na uzoefu wa mhusika.
  Maombi pamoja na nakala za vyeti (soft copy) yatumwe kupitia e-mail;
  mrmushobozi@yahoo.com
   
 2. M

  Malova JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wale wa Agriculture changamkieni
   
 3. k

  kabye JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .............sawa
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kaka weka tangazo sua
   
 5. D

  Dine Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli wenye uhitaji wa hiyo nafasi ni wengi nami pia nikiwepo tatizo nipo kijijini na hakuna cafe nina cheti kizur na nimekuwa mzoefu kwa muda labda nitoe mawasiliano yangu tuwasiliana by phone
   
 6. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mmmh kumbe ajira zipo za kutosha tu bongo
   
 7. D

  Dine Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo inanifaa sana but niko bush mkuu
   
 8. C

  Criss Alex Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nikotayari kuifanya kaz yako but ikiwezekana tuwasiliane!
   
 9. D

  Dine Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu naomba unipm ili nije kufanya hiyo kazi ninaiweza sana
   
 10. I

  Innocent msokwa Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda katoe iyo tangazo yako bukoba kjjn town humpat m2
   
Loading...