Tangazo la Msiba Chadema Mbeya

Poleni wafiwa,Mwenyezi Mungu amlaze mahala anapostahiki.

Mtoa taarifa taarifa yako haijakamilika kwa kueleza kama Mama yetu alikuwa anaumwa for how long alikuwa anasumbuliwa na nini.
 
Pole sana Kamanda Mwambigija,tuko pamoja katka kipindi hiki kigumu kwa familia ya mzee Mwambigija hapo nyumbani.
 
pole kamanda naamin huko aliko anafurahi kwamba unapigania watanzania tofaut na wachumia tumbo
 
Mama umemaliza kazi ya kuizalia Mbeya mpambanaji na sasa utavalishwa taji. Pumzika kwa amani mama.
 
Cccccm imempa sumu au
 
Lumumba hata msiba hamtoi pole buku 7 si lolote kwenye maisha ya mtu u div5 unawapoteza jamani mulugo type taifa linaenda wapi kwa product hii ya lumumba ya ki div 5
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…