Mama wa mkuu wa oparesheni na hamasa nyanda za juu kusini na Mwenyekiti wa wilaya mbeya mjini Kamanda Jonh Mwambigija Mzee wa Upako amefari dunia leo saa nane mchana makamanda wote wa mbeya mnaombwa kufika maeneo ya Juhud ilemi kwa ajili ya mipango ya Kusafilisha mwili wa marehemu kwenda Tukuyu
Kwa moyo wa unyenyekevu napenda kutambua mchango wa marehemu Mzee John Mwambigija ktk siasa za Mbeya hasa kuelekea ukombozi wa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi na maharamia walioko madarakani.