Sema Wewe Ndio Unaitaji Kujua.Na sio Dogo.Rekebisha Thread Yako Nikwambie Wanaitw lini
tupo barabaran mkuu tunapiga kaz...japo allowance zao sio kubwa sana lakin kwa kuanzia sio mbaya...Wakuu kama kuna yeyote aliyeitwa katika usaili wa Madereva.
Tangazo liliripoti nafasi 400,
Kuna ndugu yangu ali-Apply
Dogo ananisumbua saana
Vipi, kuna ambao waliitwa?
Kama yupo anayefahanu anijuze waungwana