Tangazo la kupotea kwa mtoto

Tangazo la kupotea kwa mtoto

Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali


Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.


Msaada tafadhali ndg zanguni.

NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.


Asanteni


U P D A T E S:

Habari za mchana wakuu.ninamshukuru Mungu tumefanikiwa kumfikisha mtoto nyumbani kwa wazazi wake akiwa mzima wa afya.

Nawashukuru nyote kwa michango yenu.🙏
Sawa afande
 
Me Xiwalaumu Wazaz Wala Cha Nn!!!!!.
Sometime Makondakta Nao Wanaweza Wakawa Ni Chanzo Cha Huyo Mtoto Kupotea Maana Changamoto Wapitiazo Wanafunz Kwnye Uxafr Wa Public Xio Za Kuomba Zikutokee

Ila Cha Kuxhukuru Mwnyez Mungu Mtoto Kafikia Mikono Xalama Na Teyar Kafkxha Kwa Familia Yake
NIPENDE KUXEMA PONGEZI KWAKO MKUU KWA UTU WAKO ULIOUONEXHA
 
Me Xiwalaumu Wazaz Wala Cha Nn!!!!!.
Sometime Makondakta Nao Wanaweza Wakawa Ni Chanzo Cha Huyo Mtoto Kupotea Maana Changamoto Wapitiazo Wanafunz Kwnye Uxafr Wa Public Xio Za Kuomba Zikutokee

Ila Cha Kuxhukuru Mwnyez Mungu Mtoto Kafikia Mikono Xalama Na Teyar Kafkxha Kwa Familia Yake
NIPENDE KUXEMA PONGEZI KWAKO MKUU KWA UTU WAKO ULIOUONEXHA
Asante sana mkuu.jitahidi basi kutofautisha x na s mkuu
 
Wekeni na picha kama yule aliyekuwa anaitwa Beauty. Alafu inafaa ikatolewa taarifa polisi kwanza jamani na ndo utaratibu

Hapo kwenye kupeleka watoto mbali nadhani mfanye kama MOSHI mjenge shule kila kata ili msiwatese watoto wenu kutembea mbal
Shule sio majengo ni waalimu tek that to your wallet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom