Ubarikiwe sana mkuuTumempatia hifadhi mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mkuuu unanfurahishaga sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23]huwezi kunipata aiseeh.mimi sio wa hapo
Chakorii ndiyo màana nilitaka nikuwowe kabisa, penda sana wewe..Habari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali
Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.
Msaada tafadhali ndg zanguni.
NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.
Asanteni
U P D A T E S:
Habari za mchana wakuu.ninamshukuru Mungu tumefanikiwa kumfikisha mtoto nyumbani kwa wazazi wake akiwa mzima wa afya.
Nawashukuru nyote kwa michango yenu.[emoji120]
Kwanini kwani kuna kizuizi tena..??Ndo haiwezekani mkuu.poule
Mtoto alikuwa katoka shule na nafikiri ni kawaida yake kwenda shuleni na kurudi.kilichotokea ni kwamba,alilala kwenye gari snakuja kustuka konda anamwambia shuka hapa ndo mwisho wa gari.Jamani huu upotevu wa watoto unazidi kukithiri
Pole kwa wazazi..Mungu ampe uzima uko alipo na akapatikane akiwa salama
Mtoto alikuwa katoka shule na nafikiri ni kawaida yake kwenda shuleni na kurudi.kilichotokea ni kwamba,alilala kwenye gari snakuja kustuka konda anamwambia shuka hapa ndo mwisho wa gari.
Mtoto mwenyewe hajawahi kufika masaki uwiiii sitaki kukumbuka kabisaaaa alivyokuwa anatia huruma
Daah kwann siku hizi haya matukio ya watoto kupoteza imekuwa kawaida sanaHabari za usiku huu
Kuna mtoto kapotea alikuwa anatokea kimara kwenda tandale lakini kapitilizwa hadi masaki mwisho na gari likamshushia hapo hajui sehemu ya kwenda kwa kuwa sehwmu aliyoshishwa ni geni na haijui kabisa.ni bahati nzuri kafikia Hapa Grill House .msaada tafadhali
Anaitwa Douglass Dismass
Ana miaka 10
Anakaa tandale chama
Mama ake anaitwa Latifa Amiri
Baba ake anaitwa Dismass Mariwa
Shule anayosoma ni Alfulkan iko kimara.
Msaada tafadhali ndg zanguni.
NB:wazazi msiwapeleke watoto shule za mbali jamani.ona kama sasa ni usiku na mtoto kapotea.
Angeshukia kwenye mikono ya watu ambao sio salama sasa hivi si tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Pesa ipo tu.usalama wa mtoto kwanza.
Asanteni
U P D A T E S:
Habari za mchana wakuu.ninamshukuru Mungu tumefanikiwa kumfikisha mtoto nyumbani kwa wazazi wake akiwa mzima wa afya.
Nawashukuru nyote kwa michango yenu.🙏