Mie nilishiwa nguvu pale katoto ka jirani (walikua nyumbani kwangu) kaliposema."....eeeeheheee angalia halafu ataangusha kondom". Hapo ndio nilichoka zaidi, japo hilo la kuondoka home na kondomu juzi nililifanya nisishinde kwa raha, full kununiwa kisa eti nimeuliza kwa utani tu, umeona eeh, natakiwa na mimi niondoke na kondomu hapa au nikanunue hapo nje......moto wake usiseme.