who know computerKwa nafasi gani sasa .. Yani hata interview hujafanya unaulizia. JD?
Dah! Wabongo bhana! who know computer??! Hapo ulitaka kusema nini mkuu? (Eleza tu kwa Kiswahili ili nasi tuweze kukuelewa).W
who know computer
Yaani unaita wabongo wenzako dizaini kama miyeyusho. Mkbndu wewe. Soma tangazo limeandikwa student who know computer. Mimi nimequote text iliyoandikwa requirements alipoulizwa sehemu gani, nimehoji who know computer. Mbwa wewe.Dah! Wabongo bhana! who know computer??! Hapo ulitaka kusema nini mkuu? (Eleza tu kwa Kiswahili ili nasi tuweze kukuelewa).
Ok. Sasa badala ya kuniuliza ni kwa nini nimesema hivyo unanitukana. Hivi kweli wewe unashida ya kuajiriwa?Yaani unaita wabongo wenzako dizaini kama miyeyusho. Mkbndu wewe. Soma tangazo limeandikwa student who know computer. Mimi nimequote text iliyoandikwa requirements alipoulizwa sehemu gani, nimehoji who know computer. Mbwa wewe.
Siombi ajira humu, nina ajira yangu si haba familia yangu inakula. Nami nimehoji kwa mantiki, computer wanataka diploma, degree au level gani?Ok. Sasa badala ya kuniuliza ni kwa nini nimesema hivyo unanitukana. Hivi kweli wewe unashida ya kuajiriwa?
Kumbuka hakuna Mtanzania asiyeijua komputa kwani Takriban kila Ofisi zipo hata madukani zinauzwa - hazijafichwa zipo hadharani.
Nanukuu maneno yako:
" Mimi nimequote text iliyoandikwa requirements alipoulizwa sehemu gani, nimehoji who know computer".
Sasa mkuu; hukuona mapungufu katika Tangazo la Kazi na ukajiongeza kwa kuuliza tena ili upate ufafanuzi (details) i.e. komputer katika nini kabla ya kuchukua hatua ya kunitukana?
Ni kweli nafasi za kuyapata matarajio yako ni Ndoto.
Sawa bro.Siombi ajira humu, nina ajira yangu si haba familia yangu inakula. Nami nimehoji kwa mantiki, computer wanataka diploma, degree au level gani?
Kosa liko wapi? Nimehoji hao wajuvi wa compyuta wanaotaka wawe vipi?
Nyie mnaowezakutype bila kufikiri au wale wajuvi wa mambo kama graphics au excel.
Wewe umejump kwenye quote ya mtu ukajua mpuuzi mwenzako. Huna akili wewe. Toka fara wewe. Hamna popote nilipokosea and my questions was very simple. Mkdndu wewe.