Strategizt
Senior Member
- Oct 16, 2009
- 179
- 34
Nahitaji mtu kwa ajili ya kufanya kazi kwenye Secretarial Bureau.Awe amemaliza Kidato cha nne na awe na uzoefu wa kutype kwa speed. Duka lipo maeneo Karibu na Mlimani City. No. ya simu ni 0754 292 731. Mwisho wa tangazo ni Ijumaa28th February 2015.