Ben baba
Member
- Dec 31, 2015
- 68
- 34
Meeda insurance agency
Inakutangazia nafasi za Kama ifuatavyo
Principle insurer nafasi 4
Katika matawi yetu yaliyopo Kyla, Ilene, mbozi Na Dar es salaam.
Sifa
Muombaji awe na Sifa zifuatazo
1. Awe mhitimu Wa elimu ya Bima ngazi ya astashahada (certificate)
2. Awe na kiapo cha Mahakama au wakili( declaration of good character / Kiapo cha uadilifu au Maadili)
3. Wasifu( Cv)
4. Passport size mbili
Usaili utafanyika mbeya mjini.
Vigezo Na mashart kuzingatiwa.
Kwa. Mawasiliano piga
0758 502 366
0716 517 714