Hilo lisikupe shida. Ipo juu ya gvnt.vip salary inaendaje?
huku 700000vip salary inaendaje?
Hata ukizidisha elfu 10 zaidi ya govt. salary utasema ni zaidi ya ile ya government. Sema ni kiasi gani maana hiyo ni factor muhimu ya Mwalimu kufanya Kazi kwa kutulia au awe mpita njia. Hicho kigezo hukutakiwa hata kukitaja wwe lipa vizuri mbona walimu wanatulia tu. Ila kama salary njiwa jua mobility IPO pale pale!!Hilo lisikupe shida. Ipo juu ya gvnt.
We siyo mwalimu na hutafuti kazi. Nyamaza kimya na uendelee na maisha yako. Wenye hitaji wameishapiga simu na kesho wanaaza kuja kwenye interview. Jishangae kuwa peke yako kucoment hapo. We jipu kabisa. Kelele kibao kazi huwezi.Hata
Hata ukizidisha elfu 10 zaidi ya govt. salary utasema ni zaidi ya ile ya government. Sema ni kiasi gani maana hiyo ni factor muhimu ya Mwalimu kufanya Kazi kwa kutulia au awe mpita njia. Hicho kigezo hukutakiwa hata kukitaja wwe lipa vizuri mbona walimu wanatulia tu. Ila kama salary njiwa jua mobility IPO pale pale!!
We siyo mwalimu na hutafuti kazi. Nyamaza kimya na uendelee na maisha yako. Wenye hitaji wameishapiga simu na kesho wanaaza kuja kwenye interview. Jishangae kuwa peke yako kucoment hapo. We jipu kabisa. Kelele kibao kazi huwezi.
Duuh sikuwa na lengo baya kabisaWe siyo mwalimu na hutafuti kazi. Nyamaza kimya na uendelee na maisha yako. Wenye hitaji wameishapiga simu na kesho wanaaza kuja kwenye interview. Jishangae kuwa peke yako kucoment hapo. We jipu kabisa. Kelele kibao kazi huwezi.
mkuu naona umeumbua id ya mtu hapoINdio tatizo lenu mmi sikuwa na lengo baya just ushauri tu ili kuboresha tangazo
Duuh sikuwa na lengo baya kabisa
asante kwa tangazoHabari. Ninahitaji walimu katika masomo hapa chini: BIOL/CHEM (1) HIST/CIV/GS (2) B/KEEPING(1) ECONOMICS(1) KISW(1) ENG(2) PHY/MATH (1). Wale wenye uwezo mzuri katika masomo hayo tuwasiliane haraka. Shule ipo manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera. Naitaji walimu watakao tulia na kufanya kazi. Wanaosubiri ajira za serikali msinitafute. Tuwasiliane kupitia 0769 499 084. Karibu.
bei bro nina chem bio Bsc experince fullasante kwa tangazo
Hey mkuu hebu mwulize mtoa tangazo, mi raia mwema tu sijui chochote kuhusu hiyo ajira.bei bro nina chem bio Bsc experince full
soryy nilikosea ku reply hii version mpya ya jf sijaizoea sorry sanaHey mkuu hebu mwulize mtoa tangazo, mi raia mwema tu sijui chochote kuhusu hiyo ajira.
Mbona gvt ni zaidi ya hapo? Au ungespecify mia saba elf kwa graduates au kwa diploma holderhuku 700000