Hao Voda ni waongo ni matapeli, mdogo wangu walimdanganya walimpigia cm kuwa alishinda miliono100 lkn hadi sasa wanamzungusha wanamdhalilisha tu police,mahakamani kisutu walimpeleka kwa ajili ya kuapa.Wanamdanganya kila siku akiwepo Zembwela ambaye ndiye balozi wao vodacom kwa ile promotion, lkn nimepanga hadi ikifika 25/04 tutaenda mahakamani,kwanza tutaanzia ktk vyombo vya habari,kwanza ushahidi wa kwanza upo ktk vyombo vya habari cos walimtangaza kuwa yeye ni mshindi wa pili wa vodacom tangu february, hadi hii leo ile card yake ya ATM hawataki kumkabidhi na wakati wao wenyewe walimwambia afungue account.