Tangazo la DSTV Alilolifanya Joti lina makosa .

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,051
3,255
Sijui ninkupuuzia ama ni Kuignore tu.

Jaribu kulitazama hilo tangazo kwa makini , wakati Joti anazungumza utaona Karusha Mate, kama si kiuchafu cha chakula Kutoka mdomoni.

Inatia Kinyaa ..
 
Inakera Sana, tatizo huja pale waandaaji wanapokosa umakini wa kupitia kila hatua ya tangazo kabla halijawa public, rekebisha bhana
 
Back
Top Bottom