Tangazo la dharura. Waumini wote wa Kikristo Dar wakeshe makanisani mwao leo na kesho...

Liko Jeshi la Malaika wa Mungu litakalo linda Roho miili na malizenu. Soma Zaburi 91 na zaburi 102.
 
taarifa za kiintelijensia zinaonyesha baada ya kutawanywa na polisi, vikundi vya watu wanaofanya vurugu wamedhamiria kuchoma makanisa na kudhuru leo usiku. Kwa mantiki hiyo naomba kuwashauri waumini wote wa kikristo wa dar leo na kesho wajitolee kulinda makanisa yao usiku kucha. Ingawa walioandamana ni wengi, lakini imethibitka kuwa watakaohusika kuchoma makanisa ni kundi dogo ambalo hawazidi 200.
Asanteni, nitarudi baadae...

tahadhari: Wawe wamejihami...

...bwana hasipoulinda mji, walindao wakesha bure.!!!
 
...o My God! Kwanini kila ninaposoma huu uzi machozi yananivuja!?..o Tanzania kwanini!!? O simama mwenyewe Bwana ulitetee kanisa lako. Amina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom