Tangazo la Coca Cola na ubunifu wake

Tangazo la Coca Cola na ubunifu wake

poppah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
630
Reaction score
548
Hili tangazo la Coca Cola 'Hey brother' limetengenezwa kwa ustadi na ubunifu mkubwa sana

Kwa kuanza tu wametumia soundtrack nzuri 'Hey Brother' ulioimbwa na kundi la Space Campa wakimshirikisha Josh Jones.
Huu wimbo hata mimi naupenda.

Angalia rangi za nguo, viatu na kofia walizovaa, headphones na ile game pad aliyoshika yule dogo; vyote hivyo vinashahabiana na brand ya Coca cola

Angalia vizuri pale kaka mtu aliyevalia kiatu cheusi akimkanyaga mdogo wake aliyevalia kiatu chekundu.Hapo kuna mantiki ya upinzani wa kibiashara.

Hawakuishia hapo, angalia tena pale kaka mtu alipokuja kumtetea mdogo wake tazama vizuri nguo na viatu walizovaa wale ma-bullies na zile walizovaa the two brothers kuna kitu hapo wanakiashiria.

Kweli biashara ni ubunifu
 
lakini kuna jambo dogo sana wamezingua, kule mwisho baada ya dogo kupiga pafu, na kaka yake kama kumfanya mdogo wake ajimwagie soda lakini soda kwenye chupa haikupungua, jaribu kuangalia kwa umakini kidogo, soda ilitakiwa ipungue lakini haikuwa hivo,
 
Tangazo zuri sana,, Kwa tunaojua Biashara ya matangazo ya Coca cola , hili wamelipatia sana huku wakiitangaza biashara yao vizuri kwa kumwadhibu mpinzani wake.
 
Aisee..ko kila tendo pale lina maana kumbe..????
 
Mtoa mada ni MTU wa ajabu,unadhani kila MTU hilo tangazo analijua au kila MTU ana muda wa kushinda na tv?weka link au wimbo wenyewe.
Kweli nimeamini kuna watu akili zao zipo kushoto sasa we ndugu yetu unakosoa kitu ambacho kila mwenye ufahamu hapa amecomment uhalisia unataka link ya soundtrack ili ufanye nini ? Au ndio utaamini kweli nchi hii ina kazi ngumu juu watu Kama hawa

Sent from mTalk
 
Kati ya matangazo ninayo yakubali kwa biashara ni hili la coca-cola na lile la Nyati cement.
 
Kweli nimeamini kuna watu akili zao zipo kushoto sasa we ndugu yetu unakosoa kitu ambacho kila mwenye ufahamu hapa amecomment uhalisia unataka link ya soundtrack ili ufanye nini ? Au ndio utaamini kweli nchi hii ina kazi ngumu juu watu Kama hawa

Sent from mTalk
Kama Mimi siujui na wala sijawai kuona,kwani ukiuweka hapa kwa faida na wengine,kuna ubaya gani?
 
Back
Top Bottom