BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Jamani,tukiachana na utani,duka la namna hii nimelishuhudia kwa macho yangu pale makorola Tanga,yaani nyama ya ng'ombe,unga wa ngano,vifaa vya ujenzi,udalali wa nyumba za kupanga na viwanja n.k.
sumu ya panya, kunguni, viroboto, mapunye na fangas
umesahau mkuu na used spare part from Japan. Pia kukodisha muziki, tarumbeta na mapambo kwenye sherehe.
MOSHI = MUNGU ONESHA SASA HELA ILIKO Duuh!kinacho mata ni mkwanja tu siunajua kale kamsemo (Mungu Onesha Sasa Hela Ilipo - MOSHI)
tunaranda mbao,tunachoma grill, mafuta ya kula,vipodozi, kiti moto, saloon, mtori, trupa, car wash, photocopy,tunarepea fire extingisha,magari kwenda kwa babukweli aisee chuma chakavu